Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

Kwa sasa achana naye na endelea na mambo yako, ila siku ukija kupata pesa na wadhifa, mshughulikie bila huruma huyo shetani.
Muraaa!! sasa nimeamini kapisa!! wewe ni roho ya Mughaka kapisaa!! kapisa!! sasa nisaidie kuripa rikisasi ri mocha!! Haya majamaa yaliniundia kikundi nikapigwa eti rifanyakazi hewa wakati nilikuwepo! tatoo nasema niripata taabhu sana ya maisha mchini taisarama!!

Usioghope tatoo ntakorebha , tutumie rire ri ghari rako la taghisiii si pato ripo murua rinafanya ghasi ?? au uli liiusa zamani sana mura?? usisahau mapanga tutakhata kiungo kimocha kimocha tunaweka bhembeni arafu tonariangaria kwa macho km rina ria....

usisahau muraaa!! ni bhere impotanti...... Kwa sapapu Piplia inasema ''tumeumbwa kwa mfano wa Mungu!!'' kwa hiyo tutafanya ya Mungu. na Mungu alisema Kisasi tumuachie yeye Mungu ndiyo alipe sasa hapa watu hawaelewi' kuwa hata wao ni miungu!!

Kma wao watu ni miungu na wameumbwa kwa mfano wake walipizie hapo hapo!! km Mungu anavosema kisasi ni chake!! km ni chake ni chako pia si mnafanana???? Ila onyo kwa wale wasio kama Mungu tu ndo wasilipe kisasi, ni marufuku kwao kulipa.wasubili Mungu aje!!

Hakikisha unapolipa kisasi uwe km Mungu
 
Nina list yangu ya watu kama 11 hivi, ninawatamani hawa na hawatakuwa salama mambo yangu yakikamilika. I'll hit them hard.
 
Upo kama mimi labda muhusika aniombe msamaha
Hapana mura inaweza kuwa janja tu ili akukomoe Kule Musoma wanasema ''Tawa ya Moto ni Moto'' tena ''tit for tat!! Nyerere aliwahi sema ''Dhambi nyingine ziko mlemle ndani ya kitendo wala haisubiri!!!'' hivi wewe Idd Amini ametuvamia

wewe unasema '' Muacheni jamani subiri Mungu atalipa?.. yaani wanajeshi wanaanza na wewe kwanza kukufanya asusa !!km adui nambari moja wa ndani! halafu moyo kwanza silaha mbele !!

Mfalme Daudi alitembea na Mungu hasa na hakuna mfano, unaona alicho wafanya wale walio muasi.... tena Mahasimu wake wakiongozwa na Abosalom kabisaaa damu yake ya kiunoni kuikojoa mkojo chwaaa!!
 
Uhalisia wa msamaha uanzia ndani ya moyo wako,uwezi kumsamehe mtu kwa kusema tuu "eti nimekusamehe! huo uongo ndio maana maumivu hayaishi ndani yetu kumuachilia mtu si jambo jepes kihivyo.unahitaji msaada wa Mungu ili aweze kukusaidia uweze kumsahau na kumwachilia yule aliyekutenda.
Huo msaada ni msaada wa namna gani kama nikijisemea tu nimesamehe na bado maumivu yaendelee ninakua nahitaji msaada wa namna gani zaidi?
 
Wivu wangu uko wapi hapo? Nisaidie!
Jamaa anawatangazia watumishi wenzagu kuwa sitakuja kukaa nikapata fursa - zinazopitia mkononi mwake! Ungelikuwa wewe ungefanyaje Kiongozi?
Mkuu unaendelea kujifunza samehe tu ndo walewale hawa dunia tambara bovu kaka
 
Kwanini unampa dili la pesa mtu aliyekuwa anakutendea mabaya kazini? Kinyongo na kulipa kisasi ndio sifa ya mwanaume kamili. Mtu akikuharibia katika kutafuta pesa mshughulikie akija kujaa katika 18 zako.
Hapa leo umeandika kiume zaidi
 
Mhusika haonekani kujutia kosa lake kabisa...amefikia.hatua anataFut vibaka waje waniibie kwenye kaz zangu nilost..! Aliwah mwambia dada wa kazi wang aweke chumv kwa engine atamlipa...yaan kosa halipo..
Binafsi huwa nina huruma sana, lakini pale mambo yanapokuwa hivyo.... Namuambia huruma akae kushoto
 
Back
Top Bottom