MSAADA WA JINSI YA KUFANYA APPLICATION ZA DIPLOMA


A

Allydasmartboy001

Senior Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
119
Points
195
A

Allydasmartboy001

Senior Member
Joined Jul 14, 2018
119 195
Naombeni msaada wa hatua za kutuma maombi katika ngazi ya diploma na kama mkinipa na gharama mtanisaidia zaidi asanteni
 
K

kacherema

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
42
Points
95
K

kacherema

Member
Joined Oct 3, 2017
42 95
Kama ni kwa vyuo vya serikali unaingia website ya Nacte na utakuta maelekezo na ada ya maombi kawaida ni 10,000 kwa hivi vyuo vya serikali. pia kwasasa nadhani dirisha la maombi litafunguliwa kuanzia mwezi ujao na kuendelea ambao vyuoni masomo yataanza mwezi wa tisana wakumi. Ukiingia website ya nacte kuna sehemu utaona ya ku apply utaanza process za kufungua account kwa kuingiza index no ya form four na majina then utapewa code no za kutumia kwenye kulipia hiyo ada ya maombi ambapo utatutumia m pesa,tigo au airtel.(Kuna sehemu utaona utaratibu wote wa kulipia kwa kila mtandao wa simu iwe voda,tigo airtel au halotel. Na kama unaomba vyuo vya private utaratibu ni unaingia moja kwa moja kwenye website ya chuo husika au kufika chuoni kabisa. ni
Naombeni msaada wa hatua za kutuma maombi katika ngazi ya diploma na kama mkinipa na gharama mtanisaidia zaidi asanteni
 
K

kacherema

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
42
Points
95
K

kacherema

Member
Joined Oct 3, 2017
42 95
Kama ni kwa vyuo vya serikali unaingia website ya Nacte na utakuta maelekezo na ada ya maombi kawaida ni 10,000 kwa hivi vyuo vya serikali. pia kwasasa nadhani dirisha la maombi limefunguliwa kuanzia leo may 15 mpaka mwezi wa 8. na kuendelea ambao vyuoni masomo yataanza mwezi wa tisana wakumi. Ukiingia website ya nacte kuna sehemu utaona ya ku apply utaanza process za kufungua account kwa kuingiza index no ya form four na majina then utapewa code no za kutumia kwenye kulipia hiyo ada ya maombi ambapo utatutumia m pesa,tigo au airtel.(Kuna sehemu utaona utaratibu wote wa kulipia kwa kila mtandao wa simu iwe voda,tigo airtel au halotel. Na kama unaomba vyuo vya private utaratibu ni unaingia moja kwa moja kwenye website ya chuo husika au kufika chuoni kabisa. ni
Naombeni msaada wa hatua za kutuma maombi katika ngazi ya diploma na kama mkinipa na gharama mtanisaidia zaidi asanteni
 
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
478
Points
1,000
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
478 1,000
TANGAZO MAFUNZO YA MUDA MFUPI KUHUSU RECORD KEEPING SKILLS KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE




UFADHILI WA MASOMO UJERUMANI HII SI NAFASI YA KUKOSA KWA MTANZANIA

KITABU CHA NACTE KITAKACHOWA ONGOZA WANAFUNZI WA DIPLOMA NA CERTIFICATE KUTUMA MAOMBI KATIKA VYUO MBALIMBALI

TCU: TAASISI NA VYUO VIKUU VILIVYORUHUSIWA KUFANYA UDAHILI MWAKA 2019/2020


NACTE: VYUO VILIVYORUHUSIWA KUFANYA UDAHILI 2019/2020


RITA MUONGOZO JINSI YA KUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA

MWONGOZO JINSI YA KUOMBA MKOPO HESLB VITU MUHIMU UNAVYOPASWA KUWA NAVYO AU KUFANYA



TAARIFA KWA UMMA WANAFUNZI WANAOSOMA NJE YA NCHI AU WANAOTARAJIA KUSOMA NJE YA NCHI



CHUO CHA SHERIA (IJA) KIMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA SHERIA KWA CERTIFICATE NA DIPLOMA



SABABU ZINAZOSABABISHA CV NYINGI ZIPUUZWE WAKATI WA KUOMBA KAZI



TOVUTI HII INAKUJALI
TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU SHARE NA MWENZAKO ANUFAIKE


SPECIAL NOTES
WAHITIMU KIDATO CHA SITA NA WANAFUNZI WENGINE WANAO OMBA KUDAHILIWA KWENYE VYUO NA TAASISI MBALIMBALI, KUOMBA MKOPO NA KUHAKIKI VYETI TUTAENDELEA KUWAPA USHAURI NA KUWASAIDIA ILI KUFANIKISHA HAYO
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Hivi mku application kwani teari washaanza kuruhusu kutuma kwenye system ya nacte.....
System ipo hewan kwa wale wanaoapply kozi za health and allied science peke yake, ila kwa zingine bado haijaruhusiwa rasmi.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Naombeni msaada wa hatua za kutuma maombi katika ngazi ya diploma na kama mkinipa na gharama mtanisaidia zaidi asanteni
*UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) 2019/2020.*

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha 4 au 6 na unataka kutuma maombi ngazi ya cheti au diploma kupitia NACTE?

Je, wewe ni mtu uliyehitimu au kuendelea na elimu ila ungependa kufanya udahili wa ngazi ya cheti au diploma?

Je, unaye mdogo wako au ndugu mwenye uhitaji wa kufanya udahili ngazi ya cheti kwa mwaka 2019/2020?

*TUNATOA HUDUMA YA KUTUMA MAOMBI YA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) POPOTE ULIPO.*

PIA KWA WOTE WENYE UHITAJI WA USHAURI AU MASWALI KUHUSU UOMBAJI WA NAFASI ZA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA 2019/2020 HUDUMA INAPATIKANA.
TUNAPATIKANA UBUNGO, DAR ES SALAAM KWA MAWASILIANO PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0752026992/ 0737728947.

N.B. HUDUMA INAPATIKANA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA HATA MIKOA MINGINE PIA.

KARIBUNI SANA

0752026992 / 0737728947.
 

Forum statistics

Threads 1,294,042
Members 497,789
Posts 31,163,303
Top