Msaada wa jinsi ya angalau kupunguza ukubwa wa makovu ya kuungua

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu mwanangu alipata ajali ya kuungua moto Kwa asilimia 75. Mungu mkubwa madakitari Wa hospitali ya jeshi Lugalopamoja na wale wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI (heshema na shukrani zangu ziwafikie).

Walipambana hatimae mwanangu amepona na tayari ameanza tena kwenda shule baada ya miezi 7akiwa hospitalini, ila amebaki na makovu makubwa wakuu je kuna dawa inayo weza angalau kuyapunguza ukubwa kama so kuyaondoa kabisa?

Nata nguliza shukrani 0765544791
 
Miezi Saba haitoshi kuondoa makovu..yatapungua taratibu
 
Unataka kumla pesa zake siyo
Mtibie wew kam unaona mimi ninataka kumla pesa zake acha ushamba wako kama huna kitu cha kuandika bora unyamze kimya bwana mdogo. Mtibie basi wewe kama unaona akija kwangu nitamla pesa zake?

Umejiunga
[IMG alt="Trubarg"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/581/581093.jpg?1585378632[/IMG]
Trubarg
JF-Expert Member

Joined Jan 8, 2020
rep.png
493
point.png
1,000
una miezi 3 tangu ujiunge unanijuaje mimi wewe ? Au unataka upate umaarufu kupitia kwangu nini Bwana mdogo? Ngojea ni ku ignore kwanza sitaki kuzungumza na mtoto mdogo kama wewe.
 
Wakuu mwanangu alipata ajali ya kuungua moto Kwa asilimia 75. Mungu mkubwa madakitari Wa hospitali ya jeshi Lugalopamoja na wale wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI (heshema na shukrani zangu ziwafikie).

Walipambana hatimae mwanangu amepona na tayari ameanza tena kwenda shule baada ya miezi 7akiwa hospitalini, ila amebaki na makovu makubwa wakuu je kuna dawa inayo weza angalau kuyapunguza ukubwa kama so kuyaondoa kabisa?

Nata nguliza shukrani 0765544791
Miezi Saba haitoshi kuondoa makovu..yatapungua taratibu
Mkuu na shukuru Kwa kunitia Moyo napata wasi wasi maaana ni makubwa na huyu ni mtoto wa kike
 
Dah... yani hapo me naona umeshammaliza kumbe ndo umemnyamazia

Kakurupuka huyo ungempa link za zile nondo zako za tiba mbalimbali za humu ajionee

Binafsi hili jina MziziMkavu nimekuwa nikilijua/ nikiliona kabla hata ya kujiunga JF na nimenufaika sana na tiba zako enzi hizo nikiwa bwana mdogo tu sekondari
Mtibie wew kam unaona mimi ninataka kumla pesa zake acha ushamba wako kama huna kitu cha kuandika bora unyamze kimya bwana mdogo. Mtibie basi wewe kama unaona akija kwangu nitamla pesa zake?

Umejiunga
[IMG alt="Trubarg"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/581/581093.jpg?1585378632[/IMG]
Trubarg
JF-Expert Member

Joined Jan 8, 2020
rep.png
493
point.png
1,000
una miezi 3 tangu ujiunge unanijuaje mimi wewe ? Au unataka upate umaarufu kupitia kwangu nini Bwana mdogo? Ngoje ni ku ignore kwanza sitaki kuzungumza na mtoto mdogo kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msamehe,hakujui huyu in mgeni humu,kwa tunaokujua huwa hatubishani nawewe

Asante huyu kijana aliye jiunga juzi juzi tu leo anakurupuka kunivamia mimi nipo humu zaidi ya miaka 10? Hanijuwi simjuwi hana heshima hajuwi mimi ninaweza kuwa sawa na baba yake mzazi? Vijana wengine humu ndani wanachama wapya wengi wao kiumri wapo sawa na watoto wetu hawana heshima hata kidogo. Mimi ninataka kumsaidia mtu yeye anasema ninataka kula pesa zake? Mimi ninawatibia wagonjwa ambao Ma-hospitalini hawaponi kwa dawa za hospitali na wakija kwangu mimi wanapona kwa dawa zangu za asili. Kwa mfano ninawatibia wagonjwa wa Uukimwi (AIDS/HIV) Wagonjwa wa Presha (HBP). Wagonjwa wa Kisukari Wagonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B Virus ) na Wagonjwa wa Maradhi ya Saratani (Cancer) na wote wakitumia dawa zangu wanapona yeye huyo bwana mdogo hanijuwi simjuwi anasema eti mimi ninataka kumlia hela mtoaji mada. Ninamuacha kama alivyo bwana mdogo hanijuwi na mimi simjuwi.
 
Back
Top Bottom