Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX from USA(LL)256GB used.
Muuzaji alinitajia bei ya 1.3M ila nilivyouliza iphone from china muuzaji aliniambia kwa used ni 900K na kwa unbox ni 1.2 hadi 1.15M. sasa nataka kujua je kuna tofauti gani kati ya hizi simu za iphone zilizotoka USA na hizo zinazotola nchi nyingine mfano UK,CANADA na CHINA?
Katika upande wa matumizi mfano camera,power na kadhalika. reyzzap Chief-Mkwawa.