Msaada wa interview

Survival

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
219
91
Habari zenu wanajamvi?
Nimeitwa kwenye interview TCC nafasi ya Sales hivyo naombeni kama kuna anayejua interview zao huwa zinakuwaje?
Pia nilikuwa naomba kujua range ya salary kwa fresh graduate ili nikiulizwa iwe rahisi kujibu.
Natanguliza shukrani.
 
Kwahio wakisema wanalipa laki mbili kwa fresh graduate utakubali?? nadhani hapa hoja iwe ni unajithaminisha vipi!! Value yako ni bei gani?? Na sio wengine wamenunuliwa kwa bei gani, jiamini
 
Kwahio wakisema wanalipa laki mbili kwa fresh graduate utakubali?? nadhani hapa hoja iwe ni unajithaminisha vipi!! Value yako ni bei gani?? Na sio wengine wamenunuliwa kwa bei gani, jiamini
Nilkuwa nataka nijue figure then from there we can negotiate,ila nashukuru ndugu
 
1.why do you want to join TCC?
2.why should you be selected?
3. What value will you add to TCC?
4. What is your price?
5. What strategies will you deploy to increase sales?
Hapo hukosi swali
 
1.why do you want to join TCC?
2.why should you be selected?
3. What value will you add to TCC?
4. What is your price?
5. What strategies will you deploy to increase sales?
Hapo hukosi swali
Asante Mkuu
 
Habari zenu wanajamvi?
Nimeitwa kwenye interview TCC nafasi ya Sales hivyo naombeni kama kuna anayejua interview zao huwa zinakuwaje?
Pia nilikuwa naomba kujua range ya salary kwa fresh graduate ili nikiulizwa iwe rahisi kujibu.
Natanguliza shukrani.
Umeitwa kwa written au aural ?
 
1.why do you want to join TCC?
2.why should you be selected?
3. What value will you add to TCC?
4. What is your price?
5. What strategies will you deploy to increase sales?
Hapo hukosi swali
Hilo swali la 1 & 2 kama yanafanana??hilo la 4 unamaanisha salary ama?
 
Back
Top Bottom