Msaada wa instagram

barcelonista

Senior Member
Apr 26, 2021
158
146
Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...

Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..

Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz

#forgive me.

Screenshot_20210918-111741.png
 
Hii ndo unaambiwa men at work. Account yako imekuwa suspended kwa mda baada ya kwenda kinyume na vigezo na masharti
Uzuri wamekupa option yakuwa kama unaona hili jambo ni uonevu unaweza wasiliana nao kwa kubofya hapo kwenye button ya tell us

I mean contact them(Instagram support team)via email ,tell them what is wrong with your account and they will give you feedback
 
Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...

Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..

Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz

#forgive me.

View attachment 1944195
Kwa nilivoelewa ni kwamba ulijaribu "kucheat"(kwa kutumia apps flan hivi) ili upate followers wengi na likes kwenye acvount yako ya insta
 
Jaribu tena baadaye
Akaunti yako imesitishwa kwa muda ili isifanye kile ulichokusudia. Kuunganisha akaunti yako na huduma inayoongeza likes na followers ni kinyume na miongozo ya jumuiya yetu. Usitishaji huu utakoma 25/09/2021. Ikiwa tumekosea kukusitishia akaunti yako tujulishe.
Tujulishe
Sawa
 
Jaribu hii njia:

Nenda kwenye App Settings halafu Clear data. Hii njia ishafanya kazi kwangu mara nyingi kwenye temporary block za likes na following.

NB: Uki-clear data itakubidi u-log in tena, pia soma vizuri sheria za Instagram ili usije kukutana na hilo tatizo tena.
 
Wadau hata niki comment kwenye post ya mtu haifanikiwi naambiwa fail to comment try again,,,hata nikoment mara mia lkn wap
 
Ng
Jaribu hii njia:

Nenda kwenye App Settings halafu Clear data. Hii njia ishafanya kazi kwangu mara nyingi kwenye temporary block za likes na following.

NB: Uki-clear data itakubidi u-log in tena, pia soma vizuri sheria za Instagram ili usije kukutana na hilo tatizo tena.
Ngoja nijaribu nione
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom