Msaada wa ili swali linanichanganya hadi jasho linanitoka jamani

Hili kama lipo kwenye History basii limeisha pweints ni zile zile mkuu hata ukitumia zile za mfecane war
 
Communalism is root of economic DV argue the statement!!
Hapo unatakiwa kumwaga faida za communalism kwa maendeleo ya ulimwengu kwa ujumla....
Mfano
1... Earlest mode of production
2... consider whole community development
3... no exploitatition man by man
4... did not intertain socil class development
5... care about environmentak concervation
6... consider sustanable resource utilization
 
Back
Top Bottom