Msaada wa hizi hela nizifanyeje??Nitumie au niziache?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa hizi hela nizifanyeje??Nitumie au niziache??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papizo, May 28, 2010.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sasa nadhani humu kuna wazoefu wengi sana, Leo nimepita mjini asubuhi nimecheck Mini statement yangu nimekuta kuna hela zimeingia kwa TZS naweza kusema ni kama 6,700,000M sasa kuna hela zangu huwa zinaingia lakini nilicheck nikakuta zimeingia zaidi sio kama vile zinavyoingia siku zote I mean zilikuwa wamezidisha, Sasa nikawa mimekaa kimya sijafanya kitu chochote, Sasa hela hizi walizoingiza zimeingia mara 3 kwa kiasi tofauti sasa kwa hiyo ukijumlisha zote unapata hicho kiasi nilichokisema hapo. Sasa nilivyoona hivyo nilishtuka sana nikasema sijawahi kupata hiyo kitu ila wengine inawatokea. Sasa nikafikiria je ni mtu anayenifahamu au ni vipi maana kwa nini ziingie mara 3 kwenye account yangu mimi tu?Sasa nikasema wacha nisubirie lakini hamna aliyeniambia mpaka sasa ila zinaonyesha kwamba system imefanya makosa na zimeonekana zimeingia automatically

  Swali hapa ni kwamba
  1)Je nikawataarifu bank kwamba kuna hela zimeingia sijui zimetoka wapi??
  2)Je nikauke kwa mda gani then niwajulishe bank?

  Bado najiuliza maana nisije kuanza kuzikamua nikaja pata matatizo, Kwa hiyo naombeni msaada wa mawazo hapo.

  N.B sipo bongo mimi!
   
 2. K

  Kilian Senior Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo mzee unamaanisha nini? Bado zipo au wamezichukua?
  Kama bado zipo jaribu kukaa kimya kwanza usubiri uone kitatokea kitu gani. kama bado zitaendelea kuingia au hakuna mtu anayejitokeza kuzidai then ujinafasi. Ukienda kuwauliza bank, it is ok but I don`t trust them either.

  Hata kwangu zilishaingia 6,000,000. Baada ya muda zikatoweka kama zilivyoingia.
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Ok sawa sawa mkuu,Sasa hizo hela zimeingia na bado zipo kwenye account mpaka sasa wala hazijatoweka mzee, Na mimi nilikuwa nafikiria kuziacha kwanza kwa mda.
   
 4. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuwa mwaminifu...unajua fika si zako... waambie bankers wako.
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hao bankers una waamini??Na unaweza kujua zimemfikia mlengwa??Wenyewe wakiona zimeingia kwa mistake then watazitoa kama walivyoziruhusu ziingie!
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ahh jinafasi tuu wakikuuliza baadae unawaambia hukujua???
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,807
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha Papizo mimi nimependa N.B yako! Whats your worry man? Kama uko Iran au Korea Kaskazini be carefully its better ungekuwa bongo
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Hapo nimeweka attention tu maana bongo balaa ungetafutwa mpaka ukapatikana upo wapi,na ungeambiwa uripoti police,Na mikwara ingeingia na kuambiwa nirudishe kila mtu angesema zake,ila nasikilizia kwanza.
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hukujua nini sasa ulivyokuwa unatumia ulijua zinatoka wapi?Au ulijua za kwako?
   
 10. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,835
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ni suala la mda watazichukua makosa kama hayo yanatokeaga Niliwahi kweda ATM kuchukua pesa zikatoka zaidi nilichukua pesa nikapeleka nyumbani kucheck upepo baada ya mda walimipigia simu wanadai pesa yao!
  System lazima i balance na kama kuna fault lazima wataiona tu!
   
 11. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,778
  Likes Received: 20,713
  Trophy Points: 280
  hizo hela zimeingia kwa makosa baada ya muda watagundua hilo kosa watazichukua,kama hujali kuharibu account/credit score yako tumia otherwise usiziguse watakudai.
   
 12. Mwazani

  Mwazani Member

  #12
  May 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! watu wengine ni wakarimu na waaminifu! na kwenye ndoa yako shoga upo hivyo hivyo?
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Naogopa zisije kuwa ni za maharamia wa Sudan, the best thing nikuwajulisha bankers ili upate haki yako otherwise, nakushauri kaombe fasta bank statement ambayo ndo itakupa ukweli wa mambo.

  Otherwise, waweza kukamatishwa na kesi feki ya kudhamini maharamia, by the way, ungesema uliko.
   
 14. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  source yake? ni mishahara au?.,jua haki zako;'ushauri upo lakini toa habari kamilifu wapo wengi watakao kushauri
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hii inatokea mara nyingi tu, kisheria ni kosa kuzitumia ziache tu watazichukua baada ya mda au itaarifu benki yako kujipunguzia matatizo, hauwezi jua zimetoka wapi.
   
 16. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Soma contract yako na bank...Kisheria benki wana uwezo wa kuja kuichukua badae. Sasa kama wewe umeitumia...watachukua yakwako! That is the law at least of where i reside!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Acha tamaa
  benki huwa wanafanya makosa ya kawaida kama hayo...
  Mda si mrefu watagundua na kukudai.....
  We tulia tu kwanza,usizitumie mpaka watakapo gundua.
  Au wataarifu....
   
 18. b

  bwanashamba Senior Member

  #18
  May 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazidroo alafu uziweke ktk accaunt ingine then usikilizie kwanza,
   
 19. P

  PELE JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Una uhakika siyo wewe uliyefanya makosa na hizo pesa ni pesa zako halali?
   
 20. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wacha ujinga wewe kwani hufahamu bankers ndio wezi wakubwa hapa duniani? ( Usiniulize maana mimi nimefika hadi mbinguni kule system kidogo nzuri) Kwangua account halafu ifungilie mbali na upotee khe khe khe .... ... unafikiri recession imeingiaje? Waswahili walisema wajinga ndio waliwao. Mafisadi kila uchwao wanawaibia walalahoi wewe bado unazubaa zubaa tu.

  Kwanza hizo sio fweza nyingi za kuja kubabaisha nazo hapa na viswali vya kijinga ebo! Nyie mods vipi mmelala nini au mmenunuliwa na Chama Cha Majambazi?
   
Loading...