Msaada wa hili jambo tafadhali

artesunate

Member
Mar 20, 2016
6
0
Salam wanaJF,

Naamini mpo wazima, tafadhali naomba kubadilisha mawazo na nyie labda akili yangu itatulia. Mimi natokea katika familia ya ndoa za mitaala....mama angu ni mke mdogo lakini pia kunabimkubwa 2meishi kawaida wakati baba mzima, lakin kipindi baba alivoanza kuumwa ndipo tatizo lilianza ghafla ndugu wote ukoo wa baba wakawa wanatuchukia na wakaja kumchukua baba nyumbani wakampeleka kwa ma mkubwa ameugua sana lakin mungu akampenda zaidi baada ya kifo cha baba nashindwa kujua nini tatizo bado ndugu wanatuchukia familia ndogo na mbaya zaid hata nikikutana na bamdogo yaan wadogo zake baba na shangazi hawaitikii salaam kias kwamba tunajiskia vibaya asa nashindwa kuchukua maamuzi kwamba ntakuwaje mbali na hawa ndugu na si bado ni vijana wadogo ambao tunahitaji uwepo wa hawa ndugu.

Na chaajabu familia ya bi mkubwa wao wanapatana afu wale ni watu wazima,tumejaribu kufanya utafit labda tujue tatizo lakn hatujabain kujua....asa mi najiuliza kwan c watoto tunakosa gan au ndo familia za mitaala zipo hivi?

Mawazo yenu tafadhali.
 
Muulize vizuri mama labda anajua tatizo ni nini mpaka wote msikubalike huko.
 
Back
Top Bottom