Msaada wa hii iPhone

holygrail

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,303
592
8a27e668ed1ebdfc25d5e51dfd9bce90.jpg
 
Aisee mkuu kumbe Wewe ni kibaka, umeiba wapi hiyo? Msala huo jiandae kunyea debe soon!
 
Mkuu bila ICLOUD ID yako hapo pamoja na PASSWORD yako hitafunguka..
Nakushauri kama umenunua kwa mtu hio simu fasta umrudishie kwamaana IPHONE ni fasta itajulikana ilipo hata ukiizima simu lkn itaonekana tu
 
Mkuu bila ICLOUD ID yako hapo pamoja na PASSWORD yako hitafunguka..
Nakushauri kama umenunua kwa mtu hio simu fasta umrudishie kwamaana IPHONE ni fasta itajulikana ilipo hata ukiizima simu lkn itaonekana tu
Hii nimeletewa tu ya wizi
 
Nlidondosha iPhone yangu kwenye harusi kijijin nikatangaza ukumbin sikuipata pamoja na kuweka dau la 50,000 na ujumbe kuwa alieokota hatoweza kuitumia hadi Mimi lakin wapi. Nikasafir Kuondoka lakin sim ilizimwa asubuh nikapiga ikaita nikaambiwa njoo uchukue imetushinda nikapanda hiace nikaenda wakanambia niwape 20,000 ndo wanipe ma boda boda wanne nikawatumia kwa mpesa ni kachukua sim yangu nkasepa njian nikapiga voda wakarudisha 20,000 Yangu hadi Leo waliniahid wataniroga najiona mzima ulichofanya nawe ni wizi na wewe ni mwizi ungeiacha on mwenyewe angepiga ungesema umeokota ulisubir sim yake bas acha tamaa
 
Mkuu hiyo haifai mtafute aliekuletea mrudishie na umkanye asirudie tena kujaribu kukuweka matatizoni maana mpaka hapo una kesi ya kujibu, kwa hill jaribio lako LA kutaka kuihard reset Mali isiyokuwa yako. Kuna watu wamefirisiwa na kesi kwa kesi hizo
 
Back
Top Bottom