Mrudishie mwenye nayo aweke infos zake ndipo itafunguka kama mliuziana ikishafunguka mwambie aziondoe uweke zako.
Hii nimeletewa tu ya wiziMkuu bila ICLOUD ID yako hapo pamoja na PASSWORD yako hitafunguka..
Nakushauri kama umenunua kwa mtu hio simu fasta umrudishie kwamaana IPHONE ni fasta itajulikana ilipo hata ukiizima simu lkn itaonekana tu
Hapo mkuu mtafte aliyekuwa anaimiliki atoe icloud yake mkuuNime restore
Hii nimeletewa tu ya wizi
Nime restore
Mkuu kama aliyekuuzia ni hapa hapa tz ukiweka line mwenye nayo haihtaji hata kwenda tcra kujua simu yake iliko akiingia kwenye icloud ataiona simu yake mahari gani ilipoNime restore