Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,470
- 2,864
Wandugu nna hili tatizo kwenye gari yangu, tangia naigize toka Japan ilikuja ikiwa na hiyo alama. Sasa sijui ni nn na mara zote nimeivumilia ila leo nikaona niwaulizeni wajuvi wa mambo isije ikawa naendelea kulea tatizo ambalo linatibika. Tafadhal msaada wenu.