Msaada wa haraka

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu pole na mikikimikiki ya Hapa kazi tu.

Wakuu nimeapply kazi moja online,ila baada ya ku-submit sijatumiwa email ya kuzibitisha kuwa nimeapply. Me nijuavyo kazi nyingi za kuapply online ukisha-submit lazima utumiwe pia email.

Wakuu hii imekaaje ?
Screenshot_20181201-210516.jpeg
 
VSO wahuni kweli hao wanakuwaga na watu wao watu wengi wanalalamika hawaparti feedback yoyote
 
Back
Top Bottom