Msaada wa haraka: Word Not Responding

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Nimechapa kazi katika Microsoft word, mara ya kwanza nilii-save ktk Window 2003. Kisha nikaongeza page nyingi 3 bila ku-save. Nilipokuwa nafanya editing kwa ku-bold sentensi na vichwa kadhaa, nikashangaa mouse pointer imebadilika na kuwa kama ina-search. Kwa juu ktk window kuna maneno (Not Responding). Katika uppermost right corner kuna option ya minimize au close. Nilipobonyeza minimize inakubali bila shida. Nikibonyeza close ili ni save juu kwa juu, kinakuja kibox chenye maneno "Microsoft office word has encountered a problem and cannot exit. We are sorry for inconvenience." Nikisema "End now" napoteza changes zote nilizofanya.

Naomba mnisaidie niweze ku-save bila kupoteza kitu.
 
Hadi saa 4 asb haikurespond. Nikaamua kuzima computer na kuiwasha kisha kuanza kuchapa upya karibu page 3 zilizopotea.

Hasara ya kutojua nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom