Msaada wa haraka - Walimu wauawa Mwakaleli Secondary!

Nsalilwe, mkuu tunaomba utupe habari au maelezo zaidi kuhusiana na habari hii. Shukrani.
 
Tafadhali weka details, ikiwezekana na picha!

Wakuu,

Nina ndugu yangu mwalimu ameponea chupuchupu, alikuwa ameeda kwake, kurudi akakuta mambo yameharibika. Kwa pale alipokuwa amejificha asingeweza kuongea na polisi kwa kuhofea maisha yake.

So I can not back my information with photos, ngojeni magazeti na redio za kinyumbani. At that time ninatuma jamaa alikuwa desperate anataka msaada.

I counted on your vigirance, sasa mkitaka proof ndipo m-act, where are we heading to.

Soon the news will be on the headlines!

Wait a moment!

Nsalilwe!
 
Nsalilwe, mkuu tunaomba utupe habari au maelezo zaidi kuhusiana na habari hii. Shukrani.

Steve,

Tayari polisi wameenda nina imani watakuwa wamefika.

Lakini haya matukio mpaka lini jamani? Where is our society heading to?


Nsalilwe
 
I can now confirm that policemen and women have contained the situation at Mwakaleli Sec School.

Nobody died, one taken to hospital and a number of teachers wounded.


Hoja ya msingi hapa,

1) Katika matukio kama haya ambayo yanatokea kila siku kwenye jamii yetu, nani alaumiwe? Waalimu au wanafunzi?

2) Nini kifanyike ili kuyakomesha?


Njimba
 
Mwakaleli Secondary kunawaka moto, students are killing teachers, why?

Mkubwa hii title yako imesismua sana ila next time jaribu kupata hata habari za awali kabla hujaweka hapa(Samahani kama nitakuwa nimekukwaza)

Hamna Mtu hata mmoja aliyekufa, Nasitiza hamna aliyekufa.Si mtetei mtu ila napenda kuona JF tunadumisha hali ya ukweli na ubayana.
 
Mkubwa hii title yako imesismua sana ila next time jaribu kupata hata habari za awali kabla hujaweka hapa(Samahani kama nitakuwa nimekukwaza)

Hamna Mtu hata mmoja aliyekufa, Nasitiza hamna aliyekufa.Si mtetei mtu ila napenda kuona JF tunadumisha hali ya ukweli na ubayana.


Ahsante kwa ushauri,

Ninaelewa kuwa kichwa cha habari kilitisha, ungesoma meseji ya jamaa aliyenitumia ungefanya kama mimi. Jamaa kaandika kuwa baadh ya walimu wenzake walikuwa wamelala chini wameuwawa na akaniomba niwasiliane na polisi. Usisahau ukiwa kwenye hali ya hatari huwa watu wanalia "Mama weeeeeeeeeee Mama weeeeeeeee nakufa! au hujawahi kuwa karibu na hatari.

Hata hivyo meseji yangu ya mwisho nilisahihisha kuwa hakuna alie kufa.

Msamaha kama kichwa cha habari kilikuwa kosa, is because somebody was crying for help. At least unathibitisha kuwa kuna machafuko yametokea. Leta habari zaidi ilikuwaje basi.

Sasa turudi kwenye hoja ya msingi, jamii inaenda wapi? nani alaumiwe na nini kifanyike kukomesha vitendo kama hivi.

Nsalilwe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom