Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo kipo wapi na home ni wapi? Maelezo hayajitosheleziHabari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Ifate...au wasiliana na kwenu wakutumie.Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Inaonekana ada ulikula hivyo ukashindwa kwenda kuchukua result slip,Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Je nikiprint matokeo yangu nikaenda nayo?
Watakubali?
Wakati unafanya application ya chuo hukuscan?Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Wakati unafanya application ya chuo huwakuomba kwamba uapload?Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.