Msaada wa haraka wakuu

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
190
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Chuo kipo wapi na home ni wapi? Maelezo hayajitoshelezi
 
Hapo ni sawa na kupoteza results slip kwa kesi hiyo sijajua...!! Ila kama Una uhakika umeisahau nyumbani rudi tu home mbona usajili unachukuaga muda mrefu sana bado mapemaa..
👍
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Ifate...au wasiliana na kwenu wakutumie.

Ukisubiri hadi j3, utaambiwa tu ukalete.
 
Watoto wa miaka hii ni wazembe sana na hampo serious na mambo muhimu. Unawezaje kusahau kitu muhimu kama hiki? Unaenda shambani kulima halafu anasahau jembe!!!

Kibaya zaidi huna hata uhakika kama umesahau au umepoteza. Haya rudi nyumbani ukachukue ili uchezee hela za wazazi wako kwa uzembe ila kama ungekuwa mwanangu ungefikia bakora 5 za nguvu.
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Inaonekana ada ulikula hivyo ukashindwa kwenda kuchukua result slip,
ushauri wa kibabe: Nenda Police chukua loss report ya kupoteza result slip, nenda nayo Chuo waambie nimepoteza result slip, waonyeshe Loss report na pia waambie umesha wasiliana na NECTA na umeambiwa usubirie Cheti
 
Je nikiprint matokeo yangu nikaenda nayo?
Watakubali?
 
pia ni vizur documents zako muhimu kama hizo uwe unaziscan vizur then unazihifadhi kwenye email yako, hutakaa upateshida...
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Wakati unafanya application ya chuo hukuscan?
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima
Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani.
Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
Wakati unafanya application ya chuo huwakuomba kwamba uapload?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom