Msaada wa haraka wakuu.

ladyfocus

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
970
706
Mama yangu ana uvimbe usio na maumivu kwenye ziwa lake.hospitali wanasema hormone imbalance. Jamani naogopa sana nisaidieni inaweza kuwa nini? Nipo arusha nataka nianze kumtibia nianze wapi?
 
Pole kwa mshituko huo, jaribuni kwenye hospitali kubwa zaidi yenye vifaa na wataalamu zaidi, vinginevyo zidi kuzingatia ushauri wa madaktari!
 
me nakushauri kuhangaika hospitalini mana humu sizani kama utapata jibu la uhakika, kama hospitali uliyompeleka hujaridhika na majibu, nenda nyingine na nyingine mpaka ujiridhishe na majibu yao njoo hata huku dar
 
Back
Top Bottom