wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,570
Wanatembeaga na mabaki ya mavi yao makalioni mkuu.hivi wanaotumia vyoo vya kukalia huwa wanajisafishaje?
Wanatembeaga na mabaki ya mavi yao makalioni mkuu.hivi wanaotumia vyoo vya kukalia huwa wanajisafishaje?
Afu ukute mtu anajiskia na kuriiiiiinga!!! kumbe mavi matupu.Wanatembeaga na mabaki ya mavi yao makalioni mkuu.
Tumia rambo kushushia mzigo, ukimaliza chukua jembe ukaufukie ardhini mbele ya hoteli. Itakuwa imeisha hiyo. Swali la kindezi ulilouliza.Wakuu kwema?
Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.
Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
daah haya mkuuWeka tishu chini jisaidie ktk tishu alafu itumbukize ktk tundu la choo
Hatari ya kukivunjaweka miguu juu ya sinki hapo chuchumaa zako shusha mzigo
Mkuu ulikuwa unauliza kwa kutaka kuelewa kweli au ni changamsha forum tu?Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea
Mashikolo mageni........kayooooooWakuu kwema?