Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Ukibanwa kisawasawa akili itakuja tu ya namna ya kukitumia, angalizo tu usichafue hali ya hewa ya eneo husika.
 
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Nimekuelewa mkuu, asante kwa kutujulisha kuwa vyoo vya kukaa sasa vimetua Geita.
 
So simple, panda juu miguu yote then kaa, endelea na maisha hicho kuwa utoe suruali au usitoe utajua mwenyewe, ila ukipenda usitoe tu.
 
La unanikumbusha shuleni A level...kulikuwa na kioja .Kuna mtu aliku2a anapanda juu ya choo anamaliza...wenhine tukienda lazima tufute matope ya miguu yake!
Tukaweka Mkakati was.kumjua ...ikawa waliohisiwa akiinhiantu bafuni ....watu wanachunhulia kwa chini ,Kama.Miguu inaonekana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Baada tukambaini !
Ila tukaja baini jamaa alikuwa anafanya hivyo kwa sababu za kidini๐Ÿคซ๐Ÿคซ๐Ÿคซ
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea
Hakikisha unevua suruali mkuu ukishaa kaa jisaidie kisha flashi kama kuna sehemu ya kunawa kwa pembeni unawe
 
hivyo vyoo mi vimenishinda kabisa, kwenda kuweka makalio alipotoka kuweka makalio yake mtu mwingine nimeshindwa kabisa......yaani sijui najisikiaje!
hivi unapojisaidia choo cha kukalia tena cha shea, huwa mnafanyaje yale maji machafu ya tundu la choo yasiwarukie?
 
Back
Top Bottom