Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,953
- 93,921
Usisahau kuflashView attachment 1973674
Na asisahau kuvua nguo, mwamba anaweza akafanya kama huyo jamaa anavyofanya demo...
Usisahau kuflashView attachment 1973674
Hello plz naomba npm me nkitaka kukupm nafail..,
Kama vipi usipupu..usijichoshe mwaya
Kitu kilivyo nibana Jana nilimdanganya jamaa yangu kuwa choo changu maji yanasumbua hivyo nikatumia chake kwani Ni Cha kuchuchumaa!Wewe pupu haijakubana vya kutosha, ingekuwa imekukamata sawasawa haya maswali tungeulizwa wakati ushaharibu!!!
Mie huwa napandaga kwa juu ndio nakunya au nikiona kuna ndoo humo chooni basi nakunya kwenye ndoo Kisha namwagia mavi chooniWakuu kwema?
Nina Jambo langu hapa!! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.
Tangu Jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo Cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!!
Duu! Noma Sana!!Mie huwa napandaga kwa juu ndio nakunya au nikiona kuna ndoo humo chooni basi nakunya kwenye ndoo Kisha namwagia mavi chooni
Haa HaaMie huwa napandaga kwa juu ndio nakunya au nikiona kuna ndoo humo chooni basi nakunya kwenye ndoo Kisha namwagia mavi chooni
SawaHello plz naomba npm me nkitaka kukupm nafail..
Mr BeanAhsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea
WilayaKwani Geita ni kijiji?
Nimejifunza kitu!First rule of public toilets… vingine mbwembwe ata ukichuchumaa kama squatt..
View attachment 1973678
Kumbe ndivyo ulivyo! Barikiwa sana mkuu.Yani watu wa JF ni hatari.Dume zima linaanzisha uzi wa kunya kunya halafu na sisi membas tunachangia uzi. Huu uzi ulistahili kubandikwa kwenye jukwaa la Utani/Udaku. Halafu wewe mleta uzi utakapobanwa na Uharo huko mbeleni leta tena uzi humu kabla ya kupuu ili wanajamvi wakuelimishe kwanza namna ya kutumia choo.
Kumbe hi Hali tunapitia wengi ety?hivyo vyoo mi vimenishinda kabisa, kwenda kuweka makalio alipotoka kuweka makalio yake mtu mwingine nimeshindwa kabisa......yaani sijui najisikiaje!
Na wanyaji wenyewe wa mkoa wa geita ndo haoGeita sasa itakuwa mkoa
Umekua ukitembelea maeneo tofauti ya ndan na "nje ya nchi" na still hujawahi kutumia choo cha kukaa?
Ni wapi huko "nje ya nchi", ama unaishiaga Congo Bukavu na Kibera Kenya!