Msaada wa haraka wa namna ya kutumia choo cha kukaa

namanga-kitonga

JF-Expert Member
Feb 4, 2020
285
500
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Tumia rambo kushushia mzigo, ukimaliza chukua jembe ukaufukie ardhini mbele ya hoteli. Itakuwa imeisha hiyo. Swali la kindezi ulilouliza.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,411
2,000
Ahsante mkuu, Sasa wakati nabonyeza hiki kitufe umesema mfuniko huu niufunike au uwe wazi. Maana Kuna mwaka choo Cha kuchuchumaa kilimfedhehesha jamaa mmoja kwa kumloanisha suruali yake yote halafu alikuwa mwenyekiti na kikao kinaendelea
Mkuu ulikuwa unauliza kwa kutaka kuelewa kweli au ni changamsha forum tu?

Ulishasikia nyoka anafundishwa kuuma, au kijana akisha balekhe ama kuvunja ungo kuna chuo wanapelekwa kufundishwa kunanilii?

Mambo mengine nafsi huyaelewa huku ikiyatumia bila kuuliza wala kuelimishwa.

Enhe, tuseme umejifunza na kuelewa matumizi sahihi ya hicho choo kwa kupitia comments za wajamii?

Ninadhani kama uliweza kukitumia, sasa utaenda kutindua hicho cha asian ulichozoea kutumia miaka nenda rudi na kupachika hicho uropean?

Maana ukishaonja matumizi ya iko choo na kinavyostarehesha hautaacha milele, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukinogewa na ladha iliyomo hauwezi kuacha kamwe!
 
Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
695
1,000
Wakuu kwema?

Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush ilikuwa Ni vile vya kulenga au unaingia zako pori.

Tangu jana usiku nipo hapa Geita na hotel niliyofikia wanachoo cha kukaa nasijawahi kutumia ingawa nimekuwa naviona. Naomba mwenyewe uelewa atoe muongozo!
Mashikolo mageni........kayoooooo
 
Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,800
2,000
Ucje ukatega limkono ukayatumbukiza kwenye tundu la choo,,maana wabongo mhhhh!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom