Kama upo dar nenda Kariakoo nyuma ya soko hospital ya Al jumaHabari wa JF
Nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua hospitali nzuri kwa kutahiri watoto anijuze
NdiyoNashukuru nyuma ya soko kuu au vp mkuu
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?Ana mwaka na nusu mwingine ana miezi sita
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?
Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Huyo Clinical Officer bado yupo? Miaka mingi kama 18Kama upo dar nenda Kariakoo nyuma ya soko hospital ya Al juma
Nipo serious mkuu....ukuajo lazima uathirike kwamaana energy kunwa itatumika kuponesha kidonda na sio kukulisha dudu vizurimmmhhhh!!!!!!
Mkuu hii uliyoleta ni chai kabisa, kibamia na kuwahi kutahiri kunahusiana nn?.Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?
Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Hiyo sasa mpya mzee baba! Kwa sisi waislam haitakiwi mtoto kucheleweshwa akue na mkono wa sweta.Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?
Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Hoja yako haina Mashiko.Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?
Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Nipo serious mkuu....ukuajo lazima uathirike kwamaana energy kunwa itatumika kuponesha kidonda na sio kukulisha dudu vizuri
Watakubishia ila hata mimi najiuliza watu wasiotahiriwa ni ngumu kukuta wana upungufu wa nguvu za kiume. Angalia idadi ya wahanga mijini ni kubwa mpaka utashangaaa..wengi mtazamo wangu uondoaji wa prepuse unachangia irrectirity ya watu baadae na hili hutokana na madokta wengi kuwakosea namna ya kutairi wakiwa wadogo...!!mie sisemi kitu ila ushahidi ninao ambao ni viseverse ya hili ulilolisema
mmmhhhh!!!!!!