Msaada wa haraka Unlimited-internet ya Halotel.

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,806
12,221
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed. Naomba msaada Wadogo zangu.
 
kwa sababu umeomba msaada kwa wadogo zako ngoja nipige kimya coz mimi mkubwa wako
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed. Naomba msaada Wadogo zangu.
 
bonyeza *148*55# unapata MB 600 Kwa TSH 500 tu week nzima
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom