Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed. Naomba msaada Wadogo zangu.
kwa wanafunzi au?bonyeza *148*55# unapata MB 600 Kwa TSH 500 tu week nzima
jibu ni ndio.Me nataka kujua if sim card za wanachuo can be sold kwa watu ambao sio wanachuo...
haifiki last time natumia inapeak 30KBps sometime hata haifiki hapoOngea Kitaalam mkuu speed ya 200KB/S inafika?
Sante...jibu ni ndio.
na zinaweza kutumika pia na wasio wanachuo