Msaada wa haraka unahitajika

Milton Mponda

Member
Apr 5, 2011
7
0
Mambo vipi wanajamii,

Mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama mtanisaidia kupata dawa ya mitishamba itakuwa mmenipa msaada mkibwa sana.

Please help!
 
tumia vitunguu swaumu kwa siku 3 mfululizo ukitafuna punje zisizo pungu 10 na kisha kunywa maji kuazia lita2 kwa siku kwa muda huo wa siku tatu.hakika utapona.Ili kuondoa harufu ya vitunguu swaumu mdomoni tafuna kipande cha limao bila kumenya na maganda yake kisha uongezee na ndizi mbivu,harufu itakwisha.
pole kwa kuangaika kwa muda mrufu hata mie niliwai kusumbuliwa kwa muda mrefu,baada ya kupata hiyo tiba ni mwaka wa 5 sijawahi kuugua malaria kitu ambacho kabla ya hapo nilikua kwa mwaka naugua malaria mara 4 hadi 5.
 
asante kwa ushauri
hizo punje unatafuna kwa mara moja au inakuwaje?

tumia vitunguu swaumu kwa siku 3 mfululizo ukitafuna punje zisizo pungu 10 na kisha kunywa maji kuazia lita2 kwa siku kwa muda huo wa siku tatu.hakika utapona.Ili kuondoa harufu ya vitunguu swaumu mdomoni tafuna kipande cha limao bila kumenya na maganda yake kisha uongezee na ndizi mbivu,harufu itakwisha.
pole kwa kuangaika kwa muda mrufu hata mie niliwai kusumbuliwa kwa muda mrefu,baada ya kupata hiyo tiba ni mwaka wa 5 sijawahi kuugua malaria kitu ambacho kabla ya hapo nilikua kwa mwaka naugua malaria mara 4 hadi 5.
 
Na mimi nilishawahi kupata hiyo shida, ila ilikuwa baada ya kuishi malaria free zone kwa muda mrefu.

Cha muhimu nilishauriwa ni boost immunity yangu kwa kula matunda, mboga za majani na kupumzika. Pili niliambiwa napewa under dose. Muulize dr wako uhusiano kati ya dose anayokupa na uzito wa mwili wako. Tatu, hakikisha unazuia maambukizi mapya. Tembea na anti moskwito lotion, au kama ni mwanaume kuna patches za safe sleep, ziko slim in a packet unaweza kuweka mfukoni tu. Ukiwa nje usiku unajibandika kwenye ngozi kama plasta.
 
Tumia Mshana mwana - Inapatikana pale Ubungo Plaza kama uko DSM!

mambo vipi wanajamii
mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama mtanisaidia kupata dawa ya mitishamba itakuwa mmenipa msaada mkibwa sana.
please help!
 
Mkuu pia naomba utumie na dawa ya maralia ya maji inauzwa pale Hindumandali ni isaidia mi na Familia yangu alwayz hutumia ni ya maji inakuwa kwenye kichupa cha plastiki.
Ijaribu iwe moja wapo ya tiba yako.
 
tumia vitunguu swaumu kwa siku 3 mfululizo ukitafuna punje zisizo pungu 10 na kisha kunywa maji kuazia lita2 kwa siku kwa muda huo wa siku tatu.hakika utapona.Ili kuondoa harufu ya vitunguu swaumu mdomoni tafuna kipande cha limao bila kumenya na maganda yake kisha uongezee na ndizi mbivu,harufu itakwisha.
pole kwa kuangaika kwa muda mrufu hata mie niliwai kusumbuliwa kwa muda mrefu,baada ya kupata hiyo tiba ni mwaka wa 5 sijawahi kuugua malaria kitu ambacho kabla ya hapo nilikua kwa mwaka naugua malaria mara 4 hadi 5.

Mkuu michosho kwani lazima kutafuna???? je ukimeza bila kutafuna haitokutibu????
 
Last edited by a moderator:
Malaria unayopata isiyopona ninayo mimi pia, lakini uchunguzi niliofanya unaoonyesha ni malaria inayotokana na uwepo wa typhoid fever

Malaria haiponi kama kuna typhoid mwilini, mimi iko hivyo hivyo na hapa nilipo natafuta dawa ya kutibu typhoid hasa anayejua dawa ya kienyeji naomba sana anisaidie la sivyo sina maisha

Nimetumia cipro lakini inaonyesha imeshindwa maana nimeshatumia mara tatu, typhoid inapona na kurudi tena baada ya miezi mitatu au mi4
 
Hata mimi nilikua na tatizo kama lako lakini mzee wangu alinitafutia dawa kiboko ya maralia sugu(Ya miti shamba)nilipotumia nilipona kabisa kabisa, ni pm ili nikupe namba za mzee uongee nae ili akupe maelezo jinsi ya kuipata dawa hiyo. Ika mkuu ni chungu lakini kiboko ya Malaria sugu dozi yake ni sk 3 tu.
 
Mkuu michosho kwani lazima kutafuna???? je ukimeza bila kutafuna haitokutibu????

mtu aliye nishauri kuhusu vitunguu swaumu, aliniambia kutafuna,na kweli nilipo fanya hivyo nilipona na hata magonjwa mengine siyapati km mafua,kihohozi typhod.....kwa muda wa miaka 6 sasa tangu nienze kutumia hiyo tiba ya vitunguu swaumu.suala la kumeza kweli sijui labda kujaribu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom