Msaada wa haraka unahitajika

Status
Not open for further replies.

Died

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
255
141
Ni kwa Mara ya kwanza naomba msaada humu jf,
Nina shida na Tsh. 200,000.

Maana Niko pabaya, kwa ambaye yupo tayari kunisaidia Tafadhali, anisaidie, nitamrudishia.
Msaada jamani watanzania wenzangu,
Hili tatizo linaniumiza kuisha kwake ni mpka nipate hiyo fedha,
Ubarikiwe

Ahsanteni
wakuu nimepata watu wakunisaidia kwa hili suala,

Tafadhali usitume kiasi chako cha pesa,

Ahsanteni sana kwa ushauri
Mungu awabariki
 
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
 
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Duuh mkuu pole sana...!! Kopa hata mahali kaka umpeleke dogoo uje kuanza kupambana.. Ila wanawake nyokaa sanaaa
 
Ulikua unaweka hela ndani!
Acha kuchekesha..kwenye mtandao unaomba ela kizembe ivo kama vle unamuomba mjomba. Kwani huna watu wanaokufaham direct uwafate hao? Braza ela haitolew kirahis rais ivo wengi wangeshakua matajirr
 
Duuh mkuu pole sana...!! Kopa hata mahali kaka umpeleke dogoo uje kuanza kupambana.. Ila wanawake nyokaa sanaaa
Ahsante kwa ushauri, ila ilo nililianza mapema na likagonga mwamba
 
~ wadau wana majibu unabaki kucheka,pole mkuu tafuta MTU wa mtaani kwako akusaidie au fika katika nyumba za ibada kwa imani yako wakuchangie utatue tatizo.mungu akufanyie wepesi insha Allah.
 
Acha kuchekesha..kwenye mtandao unaomba ela kizembe ivo kama vle unamuomba mjomba. Kwani huna watu wanaokufaham direct uwafate hao? Braza ela haitolew kirahis rais ivo wengi wangeshakua matajirr
Nisamehe mkuu,
Mpka mtu anafikia hatua ya kuomba msaada ujue yamemfika,
Mimi si kama ufikriavyo,

Sikupenda kufanya hivi,ila imenilazimu Leo kudhalilika hivi
 
Nauli ya Mbeya kutokea wapi huko hadi uombe 200k..!!
Hapa inabidi ninunue vyakula vya kumuachia mama na niache pesa inayobaki, siwezi kwenda kumuweka mtoto kwa mama mikono mitupu wakati yeye ndiye aliyekuwa ananitegemea Mimi, imenibidi niache pesa walau auze hata nyanya wakati Mimi napambana.ni kutokea nguruka mpka mbeya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom