afkombo
Member
- Feb 9, 2008
- 93
- 11
Habari Wandugu!!
Mimi natumia Windows Vista Home Basic!!Nina tatizo la Internet Exploler!!
Yaani kuna baadhi ya Websites nikijaribu kufungua tu huwa internet inaji-restart halafu inaniambia ikipata jibu la tatizo itaniambia lakini siku zinapita naona kimyaaaaa,kwa mfano Hi5,na kuna baaadhi ya websites za kichina!!na pia link hii ya Microsoft http://www.microsoft.com/beta/downloads/Default.aspx nikijaribu ku-click katika DirectX(Microsoft Technologies) pia inakataa na ina-restart.
Kuna kipindi kama miezi kadhaa niliona kuna Mdau mmoja alitoa msaada juu ya tatizo kama hili(alizungumzia kuhusu mambo ya Add-ons) lakini sikufuatilia sana coz sikuwa na tatizo!!Sasa naomba masaada wadau kwa yeyote mwenye ujuzi naomba animegulie kidogo maana wanafunzi wenzangu wanatumia hiyo hiyo Home Basic lakini hawana tatizo hili nami pia mwanzoni nilitumia hapakuwa na tatizo lakini baada ya kuformat mashine yangu ndipo tatizo likaanza!!!
Pili ni kuhusu Gmail,nina e-mail ya Gmail,lakini nayo nikijaribu kusign in tu basi Internet Exploler ina ganda mpaka nisubiri kwa muda fulani.Sasa sijui tatizo ni nini!!
NB:Hili tatizo la Gmail lipo muda mrefu hata nikitumia Windows XP SP2
Sijajaribu katika mashine nyingine!!
Ntashukuru sana kama ntapata msaada huo!!