Msaada wa haraka unahitajika kuhusu HESLB

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Jamani naomba msaada wa haraka jinc ya kuupload picha kwenye form za heslb kwa sababu tangu juzi nasumbuka naitaji nifahamishwe yafuatayo
1.aina ya picha inayoitajika kamani jpg, jepg, bmp png
2.ukubwa picha interms of width and height hapa naomba nifahamishwe vizuri kwani kuna vipimo vifuatavyo pixels, mm , cm na inches
Sasa naomba nijue vipimo vyake ili kuweza kuaploud kwa urahisi
3.naomba pia kujua back ground colour ya picha
4. Pia naomba kufahamishwa kila nikipiga picha masikio hayatoki sasa naweza kuaplod bila ya masikio kwani napiga cm kwa kutumia cm
 
picha inayotakiwa mkuu ni yenye ukubwa usiozidi 1MB na yenye pixel 160*120 length*width,aina ni jpg au png na kuhus background colour ni yeyote tu ile,pia inatakiwa upige tu kwa kawaid masikio yataonekana labda hukai saw wakati unapiga.coz mi jana nimempiga mtu pich na kuiupload vizuri tu ikakubali kwa maelezo ya hapo juu ndivo nilifanya mkuu.nawasilisha
 
Naisi cjui masikio yangu madogo nimejaribu kujipiga picha nying lakin masikio hayatoki je haiwezi ikaleta usumbufu
 
duh asa hapo sijui itakuaje mkuu,au upload ivo ivo kwasababu picha ni ndogo sana ikikaa pale maybe inaeza kuonekana ipo kawaid.fanya kujarbu then ukiona haifai toa tuangalie utaratbu mwingne
 
Tuliza munkari kijana. Hiyo site weekend inakuwa mapumziko,usijisumbue. Subiria kesho j3 siku ya kazi ndio ujaribu tena.
 
kila nikicrop bado sifikii hyo saiz yao... hadi yanabak macho tuu
unatumia simu gani? fanya hivi tumia simu nzuri inayopiga picha vizuri zaid then kam unaweza ihamishie picha hiyo kwenye simu ndogo kam vile tecno 611S then nenda kaedit hiyo picha kwa kuwek save as itakuja pale uchague pixel unayotaka we chagua ya 160*120 hyo itakubali kuwa uploaded ukirudi kule kwenye upande wa kuupload olams.nawasilisha mkuu
 
Jaman kwa yule mtu aliyefanya mtihan wa PC kwa 4m4 anafanyaje ili aweze kutuma ada tsh 30000 kwa HESLB account? Kuna jamaa katuma kwa namba ya P yaan mf. P2537.0057.2006 na sio S ya S2537.0057.2002. Tangu saa kumi jioni mpaka sasa bado Heslb haijatambua hiyo namba. Afanyeje? Kuna lolote baya limefanyika?
Msaada tafadhali...
 
mi naomba mnisaidie namna ya kuapply maana toka wiki iliyopita nimeshndwa kabisa
 
duh procedures ni nying ase kam hujaanza waweza enda direct katka website ya bodi ambayo ni www.heslb.go.tz udownload na kupitia guidlines zao pamoja na maelezo ya namna ya kutuma pesa kupitia mpesa ukishajua namba yao ya kampuni na kuwatumia heslb ile code ya mpesa utaitumia ukiingia au kugoogle kitu inaitwa olams-online loan application management system then utaingza code ya mpesa badae utaanza kuingiza namba y form four na utatengeneza namba yako y siri kutokana na maswali y awali kabsa kuulizwa na utaitumia iyo kulog in katka system mda wowote.baada ya hapo utaendlea na mambo mengne ya usajili,ila ukumbuke kuwa na kitambulisho,picha,yako na mdhamini wako pamoja na cheti chako cha kuzaliwa.kwa machache hayo nawasilisha mkuu
 
naomba kuuliza hyo namba ya Mpesa unaingiza wapi?nielekeze maana nimennua toka last week namfanyia mdogo wangu yani mpk nachanganyikiwa
 
duh procedures ni nying ase kam hujaanza waweza enda direct katka website ya bodi ambayo ni www.heslb.go.tz udownload na kupitia guidlines zao pamoja na maelezo ya namna ya kutuma pesa kupitia mpesa ukishajua namba yao ya kampuni na kuwatumia heslb ile code ya mpesa utaitumia ukiingia au kugoogle kitu inaitwa olams-online loan application management system then utaingza code ya mpesa badae utaanza kuingiza namba y form four na utatengeneza namba yako y siri kutokana na maswali y awali kabsa kuulizwa na utaitumia iyo kulog in katka system mda wowote.baada ya hapo utaendlea na mambo mengne ya usajili,ila ukumbuke kuwa na kitambulisho,picha,yako na mdhamini wako pamoja na cheti chako cha kuzaliwa.kwa machache hayo nawasilisha mkuu
asante sana mdg wangu hyo code ya Mpesa naiweka wapi?help me out pliiz
 
Jamani naomba msaada wa haraka jinc ya kuupload picha kwenye form za heslb kwa sababu tangu juzi nasumbuka naitaji nifahamishwe yafuatayo
1.aina ya picha inayoitajika kamani jpg, jepg, bmp png
2.ukubwa picha interms of width and height hapa naomba nifahamishwe vizuri kwani kuna vipimo vifuatavyo pixels, mm , cm na inches
Sasa naomba nijue vipimo vyake ili kuweza kuaploud kwa urahisi
3.naomba pia kujua back ground colour ya picha
4. Pia naomba kufahamishwa kila nikipiga picha masikio hayatoki sasa naweza kuaplod bila ya masikio kwani napiga cm kwa kutumia cm
Fanya hivi,
1-fungua picha,juu kabisa kwenye screen ya picha utaona open
2-click open,then click paint
3-ikifungua click resize,then pixel
4-click mshale wa chini ili namba zisiwe sawa then jaza 150,chini 120 halafu save
Uki upload lazima akubali for sure,nishamaliza step zote hizo
 
  • Thanks
Reactions: SJB
Back
Top Bottom