Msaada wa haraka sana! Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya KAHAMA MJINI SHINYANGA.

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,088
257
Kwa yeyote yule aliye nacho hcho chumba tuwasiliane,kiwe na umeme,maji na gate kwa usalama zaidi.Bei tuelewane.Waweza nijulisha hapa jamvini au kwa kuni P.M.Tupeane mawasiliano zaidi.Ntashukuru sana!Karibuni
 
Back
Top Bottom