GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
Wakati Wazungu wakiwa 'busy' Kubuni Ndege, kwenda Mwezini, Kujikita katika Maendeleo na Sayansi 'Miswahili' inajisifia 'Pombe' Mtandaoni hapa.
Yaani unaapa kabisa huwezi acha pombe really, OK pumzika basi pia huwezi sasa baki na utumwa wako!Kuacha bia Ni mtihani ambao sijawah faulu
Au kujikwaa kwenye mikorona?Kama unakunywa pombe na glasi ya bar, kapime TB fasta.
Usianze kujitetea kwamba wanaosha na maji Moto. Kwanza kapime ngwengwe Kisha kapime Kama umejikwaa kwenye miwaya.
Na wewe kuwa mzungu sasa tukuone na ni wapi nimejisifia?Wakati Wazungu wakiwa 'busy' Kubuni Ndege, kwenda Mwezini, Kujikita katika Maendeleo na Sayansi 'Miswahili' inajisifia 'Pombe' Mtandaoni hapa.
Una uhakika sijajenga?Ukiona hivyo ujue Mungu anakupenda anataka uachane na bia, badala yake uanze kununua matofali ujenge
Pombe sio utumwa Ni burudaniYaani unaapa kabisa huwezi acha pombe really, OK pumzika basi pia huwezi sasa baki na utumwa wako!
Sijakwambia kama ujajenga, ila nimekwambia ununue tofali mbadala wa biaUna uhakika sijajenga?
Tubonyeze *150*02# ili kujua kadi zetu za kupiga kura Kama zko tyari kunyonga mtu
Ndugu zangu naomba msaada wkend iliyopita nilipiga pombe Sana ratiba yangu ya kunywa bia Ni Kuanzia ijumaa mpka juma pili ...ila nimepata tatizo moja wkend iliyopita nilipiga Sana vyombo asubuhi nika amka Nina kikohozi na mafua nikanywa dawa za kikohozi siku mbili kila kitu kikatulia....nilijua ni mafua ya kawaida ..ila leo Kama kawaida nilitaka niendeleze ratiba yangu nimepiga bia nne kikohozi kikaanza ...je hii Nin?? Ni ugonjwa Ninao ? Je Ni ugonjwa gani huu kuzingua starehe Yangu? Au ni maombi ya Bi mkubwa wangu make amekua akipiga Vita Mimi kula chombo ..
. msaada please
Nina kiwanda changu Cha tofali nambie kingineSijakwambia kama ujajenga, ila nimekwambia ununue tofali mbadala wa bia
Kwani wazungu hawanywi? Hawafanyi starehe? Unafurahisha sana ndugu!! Kuna watu wanaofanya starehe kama hao wazungu ngozi nyeupe??? Hapa hatujadili technologiesWakati Wazungu wakiwa 'busy' Kubuni Ndege, kwenda Mwezini, Kujikita katika Maendeleo na Sayansi 'Miswahili' inajisifia 'Pombe' Mtandaoni hapa.
Zinanunue kwenye kiwanda chakoNina kiwanda changu Cha tofali nambie kingine
Unaabudu vya nje sioHapana mkuu mwaka wa kumi huu nakunywa imported Guinness
Siabudu ila nakunywaUnaabudu vya nje sio
Kuna upepo wa vikohozi visivyopona na mafua umepita.. Mimi nina mwezi mzima naumwa kikohozi kisichopona na kichwa. Nimepima Uti, typhoid, choo, malaria na nikafanya full blood picture lakini nikaambiwa sina ugonjwa wowote. Hivyo nikaamua kutumia tiba mbadala na angalau nimepata nafuu sasa
Pole mlevi mwenzangu, tatizo hapo wala sio wewe, ni hizo bia wanatumia freezer kuzihifadhi ili ziwe baridi, kama hawezi kukuwekea kwenye fridge za kawaida kwa ajili ya vinywaji baridi basi changanya moto na baridi na tatizo lako litakua limeisha au hama Bar.Tubonyeze *150*02# ili kujua kadi zetu za kupiga kura Kama zko tyari kunyonga mtu...