Msaada wa haraka Samsung s6 imenigomea

Kumbuka vizuri maana uwezi kuifunga kwa fingerprints bila. Password or pin or pattern. Maana mimi mwenyewe natumia SAMSUNG A30S ilikua ivyo hivyo

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kwa kweli mimi ndio niliweka hiyo fingerprint lkn sikuweka kabisa pin au partten. Sasa hapa nifanyeje? Msaada bado unahitajika
 
Rudisha simu ya watu mkuu. Umeshaambiwa huwezi kuweka fingerprint bila kuset password kwanza.
 
Rudisha simu ya watu mkuu. Umeshaambiwa huwezi kuweka fingerprint bila kuset password kwanza.
Hiyo ni ya jamaa yangu na hapa natumia simu yangu kumsaidia hebu angalia hii hapa chini nayotumia
Screenshot_20211029-132803_Computer%20Launcher.jpg
 
Kwa kweli mimi ndio niliweka hiyo fingerprint lkn sikuweka kabisa pin au partten. Sasa hapa nifanyeje? Msaada bado unahitajika
Ok.ipo iv kama ulikua unatumia pin or pattern before kabla ya kuweka iyo fingerprint kumbuka kua utaweza kuweka iyo fingerprint lakini kwenye kufungua lazima itaambatishwa na pin or pattern yani simu yako itataka pin or pattern before ya fingerprint hau simu yko itataka fingerprint then pin or pattern
 
Back
Top Bottom