MSAADA WA HARAKA PRLEASE!!!!!!!!!!!!!!must read

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
jamani, kwa ujanja wangu wote, sijui kutengeneza blog yangu na mimi niwe blogger, tafadhali, kama kuna mtu anaweza kunielekeza namna ya kutengeneza blogspot.com yangu, au anitengenezee ili nimlipe pesa, naomba anipm....please and please, its argent.
 
Isipokuwa haitakuwa DESIGNED BY YOU. Lakini kama shida yako ni blogging tu basi inakutosha though you can go beyond that. Ni PM tumalizane haraka.

https://accounts.google.com/Service...logger.com/home&service=blogger<mpl=start#s01
Gonga hiyo link hapo juu,,ikifunguka login na email adress yako lazima iwe Gmail sawa kama huna create new gmail account hapa https://accounts.google.com/SignUp?service=mail...then wataku-direct mwenyewe jinsi ya ku create blog yako..Very easy like falling from a coconut tree
 
nataka ya kutumia tu ila zaidi ni kufanyia biashara, kutangaza biashara zangu. how much does it cost to create my own website, and how much can one pay fees per month or year? tafadhali wajameni.
 
Bei inategemea na mambo mengi. Kama ni blog tu (siyo website) yenye top domain level (.com, .net, .org), mi nitakusetia kwa elfu 75 tu na mwaka unaofuatia utakuwa unalipia elfu 10 kila mwezi kama gharama ya hosting & maintenance. Nitakupa ushauri pia namna gani ufanye ili kuingiza pesa na hiyo blog yako. Mengine unaweza kuja PM.

thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom