Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,408
- 1,156
Simu yangu ni infinix note 5 inatumia line mbili, nimepata tatizo la kupoteza kwa network line ya halotel, Nina line mbili zote nikiweka network inakuja baada ya muda zinakata zote su inakuja moja tu, nikiweka Tigo si vida hazisumbui ila halotel inasumbua sana tatizo nini?
NB: nipo Dar mtandao upo full hili tatizo limeanza hata kabla ya internet kusumbua hata matumizi ya kawaida zinakata nimesha reset na kuzima simu Mara kibao sijui tatizo nini wataalamu please msaada
NB: nipo Dar mtandao upo full hili tatizo limeanza hata kabla ya internet kusumbua hata matumizi ya kawaida zinakata nimesha reset na kuzima simu Mara kibao sijui tatizo nini wataalamu please msaada