Msaada wa haraka please wataalamu

Revola

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
1,202
2,000
Hello laptop yangu Hp mwanangu kaipiga imeachia kwa nyuma na ina vitu vingi vya muhimu sana nahofia inawezekana ikazima, ila kuwaka inawaka fresh issue ni nyuma hapoo naomba msaada inahitajika nini kuirudisha mahala pake? Na gharama ya matengenezo

IMG_20210129_121233_597.jpg
IMG_20210129_121249_274.jpg
IMG_20210129_121230_553.jpg
 
naiman64

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
6,311
2,000
Ningekuwa mimi kabla sijaleta huu Uzi ningejaribu kuhamisha vitu vya maana Kwanza ndio ushauri mwingine ufuate, hakuna kitu naumia kama file langu kufutika naumia sana
 
Revola

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
1,202
2,000
Ningekuwa mimi kabla sijaleta huu Uzi ningejaribu kuhamisha vitu vya maana Kwanza ndio ushauri mwingine ufuate, hakuna kitu naumia kama file langu kufutika naumia sana
Yani vitu nivingi vya kazini mkuu na Mambo mengine na imetokea ghafla
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,043
2,000
Hello laptop yangu Hp mwanangu kaipiga imeachia kwa nyuma na ina vitu vingi vya muhimu sana nahofia inawezekana ikazima, ila kuwaka inawaka fresh issue ni nyuma hapoo naomba msaada inahitajika nini kuirudisha mahala pake? Na gharama ya matengenezo

View attachment 1688953 View attachment 1688954 View attachment 1688955
Hakuna kitakacho potea hapo. Hard disk ndio imebeba vitu vyako na vitakua salama. Ila kinga ni bora kuliko tiba. Kma una external hamisha vitu muhimu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom