fungafunga
Senior Member
- Mar 30, 2010
- 116
- 155
Nisiwapotezee mda. Nipo "juani" mda mrefu sasa. Nimesikia mwezi uliopita tar 18 gazeti la mwananchi kulikuwa na tangazo la kazi inayolingana na professional yangu na deadline ni ijumaa this week. Nimetoka kijini ifakara leo na application letter yangu ila sijui ni condition gani walizitoa. Kuna mwenye hilo gazeti jamani. Naomba msaada wa haraka maana ninavyozidi kukaa mjibi ndo nachoka zaidi economically. Naomba kuwasilisha.