msaada wa haraka ndugu zangu wa jf

fungafunga

Senior Member
Mar 30, 2010
116
155
Nisiwapotezee mda. Nipo "juani" mda mrefu sasa. Nimesikia mwezi uliopita tar 18 gazeti la mwananchi kulikuwa na tangazo la kazi inayolingana na professional yangu na deadline ni ijumaa this week. Nimetoka kijini ifakara leo na application letter yangu ila sijui ni condition gani walizitoa. Kuna mwenye hilo gazeti jamani. Naomba msaada wa haraka maana ninavyozidi kukaa mjibi ndo nachoka zaidi economically. Naomba kuwasilisha.
 
me cjasoma hilo gazeti ila nakushangaa kama kweli unatafuta kazi afu umekaa tuu huko kijijini cjui ulitaka yakukute haya yaliyukukuta unakuja mjini na deadline inafika , me nahic umeyataka haya coz mjini ndio kuna magazeti kwa uhakika na huduma za internet , kama uliamua kukaa kijijini ulitaka ufanye vp applications? nisiongee mengi ila nakushauri nenda library hasa hapo tanganyika au hata ofc za mwananchi wanaweza kukusaidia hilo gazeti unalolihitaji
 
ME BANA NA2MIA CM ILA NENDA GOOGLE ANDIKA UTASOMA BANA AFU TRH 5 NDO MWISHO BANA FANYA SHASHA UACHE MAMBO YAKO BANA feed://view/0//http://ajirazetu.blogspot.com/feeds/posts/default
 
Afu pia kuna wadau wameandika na kuzitaja zote ajira UTUMISHI ndo hizo bana
 
Acha hzo ishu bana za kukaa kilej huku unajua unatafta unga wa vijana wko,fnd google utapata usikate tamaa ila kijijn usiende bado mchana cna braaz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom