K kaitamarogo JF-Expert Member May 23, 2016 461 493 Aug 10, 2016 #1 Wadau nimepatwa na tatizo nawashwa mwili kosa tu kujikuna navimba mwili wote nisaidie nifanyeje
kalambo two Senior Member Sep 25, 2015 124 17 Aug 10, 2016 #4 Toa dawa za minyoo kwa familia yako pia
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,645 11,153 Aug 11, 2016 #6 Ukurutu huo unavimba na kutoka vumbi