ok kwaiyo kak unanishaurije kama tv bei pamoja na usafiri si inaweza ikawa sawa tu na tz?
TV nenda tu kkoo labd kama umepend aina flan ya tv na unapenda uipate kwa gharama yoyoye but kama lengo ni kuminimize cost nenda tu kariakoo
 
hivi mizigo ya Ali Express inafika kweli bado nimeagiza muda kweli huu ni mwezi wa pili unaisha au shida ni posta
Mkuu inafika lakini kwa kuchelewa mnoooo. Wewe unasema miezi miwili,mimi kuna ambayo niliagiza mwezi wa tatu mpaka leo kimyaa,ukitrack inaonesha mizigo imefika Tz lakini mikoani huku hakuna. Jamaa wa posta alisema kuna vifurushi vingi makao makuu posta naona kazi ya kuchambua ni shida inafanywa kikonokono
 
kwa mlioagiza kipindi hichi cha karibuni vipi delay ya mizigo kufika ipo vipi
 
Habari wakuu, hivi kutokana na janga hili la korona ukiagiza mizigo kutoka China inafika kweli, Je aliexpress biashara inafanyika na mizigo inafika kwa wakati maana kuna kitu nataka kuagizia huko sema nasita kuhofia delay ya mizigo.
 
Baadhi ya wadau wanasema kuwa mizigo inafika ila inachelewa kidogo tofauti na zamani.
 
Mkuu mm nina mwezi toka niende posta kuulizia kama bado wanapokea mizigo,
Niliambiwa bado,maana ni.mdau mkubwa wa kuagiza vitu toka china kupitia aliexpress. Kumbuka mizigo midogo midogo huja kwa ndege, na mara nyingi ni 2weeks unapokea, ila kwa sasa usafiri wa ndege changamoto,
 
Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza nahitaji kununua vitu China kupitia Alibaba ila nashindwa namna ya kulipia maana sina master card wala nini nilifikiria naweza kulipia kupitia cm sasa sielewi cha kufanya.
 
Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza nahitaji kununua vitu China kupitia Alibaba ila nashindwa namna ya kulipia maana sina master card wala nini nilifikiria naweza kulipia kupitia cm sasa sielewi cha kufanya.
Airtel money na mpesa unateleza tuu
 
ukishafungua mastercard weka amount ya pesa unayohitaji kutoka kwenye mpesa kwenda kwenye card...*150*00*>lipa kwa mpesa>mpesa mastercard>weka pesa kwenye kadi
then nenda kanunue hicho unachotaka kwenye option ya kulipia chagua mastercard afu ingiza card number na cvv
 
Back
Top Bottom