Msaada wa haraka: Naomba kujua sababu na tiba ya mimba kuchoropoka (Miscarriage) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka: Naomba kujua sababu na tiba ya mimba kuchoropoka (Miscarriage)

Discussion in 'JF Doctor' started by engmtolera, Feb 5, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  JF Doctors
  naombeni ushauri kwani nina MYOMA inanisumbua sana,baada ya kupima nikakuta zipo 5 zenye size tofauti na kila nikipachikwa mimba hutokea miscarriage na nimeelezwa kuwa miscarriage hizo husabishwa na MYOMA zinagombania nafasi na mtoto na mwisho wa siku zenyewe hushinda

  nacho omba kama kuna dawa ya kuziondoa kabisa ama ni lazima nifanyiwe operation?

  nawasilisha.   
 2. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  waweza fanyiwa procedure iitwayo "Magnetic resonance-guided focused ultrasound surgery"
  yenyewe haitaji upasuaji,lakini sina hakika kama Tz wanafanya hiyo procedure.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  pole sana

  ma doctor mko wapi???
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Huwa tunasikia Wachungaji wanaponya, viwete, vipofu, ukoma, wazimu, au huwa ile ni "wajinga ndio waliwao""?

  Nakumbuka Nyerere aliwapiga marufuku pale mnazi mmoja akawaambia kama wakweli nendeni Muhimbili na Oshen rodi, wagonjwa wamejaa huko.

  Nenda India.
   
 5. N

  Ntila91 Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana nenda India kwamatibabu zaidi.
   
 6. N

  NNC Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi wala sielewi nini kinacho sababisha kwa mke wangu mimba zinatoka tena azifiki hata miezi 2. Je nini na kuna madhara gani?
   
 7. REX

  REX JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sorry for not exposing the informations,unewezj nitumia pm tukusaidie!
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu hakuna cha kukutumia Pm hapa kama wewe unaweza msaidie hapahapa hatutaki mambo ya PM hapa tupo kusaidiana mkuu REX ukiweza Msaidie usipoweza wapo watu wengine watamsaidia tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndugu. Unahitaji gynaecologist amfuatilie kila step. Lakini kwa kuanzia, asifanye kazi ngumu (huenda akahitaji bed rest completely) na inabidi uache kunaniliu. Prof Mgaya alimsaidia rafiki yangu ambaye walipata miscarriages kama 7 hivi kabla ya kupata mtoto. Na miezi 4 ya mwanzo alipewa madawa na complete bed rest.

  Mungu atawajaalia kwa wakati. Usisahau maombi pia.
   
 10. D

  DOMA JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ametoa sana mimba enzi zake
   
 11. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Apolonary uko sahihi kabsaa, inawezekana alikuwa mteja mzuri pale marie stopes, kaziporomosha weee
   
 13. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu jaribuni kufahamu blood group zenu tatizo linaweza kuanzia hapo haswa kama mmoja wenu +ve na mwingine ni -ve.
   
 14. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu nenda kamuone Daktari ataweza kukusaidia.
   
 15. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mkuu hapana si kweli,aende kwenye maombi
   
 16. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ANAPO pata mimba tu ya mwezii mmoja aanze kliniki na awekaribu na daktari na amweleze mimba mimba huwa zinaharibika
   
 17. M

  Maridhawa Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna sababu moja maalum inayoleta tatizo la mimba za umri mdogo kama huo kutoka. Nakushauri muonane na daktari,hasa wa magonjwa ya kinamama ili aweze kupata historia nzuri ya utokaji wa kila mimba na awezepata matibabu sahihi.
   
 18. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Jamani hebu tutumie hata akili kidogo, huyu ana tatizo, hata kabla hajaenda kwa Daktari aende kwenye maombi tu? kwanini usimwambie awaone watalaamu wa maongjwa ya kina mama, na pia afanye maombi?? Mnaudhi sana, soon ungesema ahhh ni freemason huyo mama!!!
   
 19. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mara nyingi sana katika kuchangia kwako unaomba watu waku PM. Na katika baadhi ya post unasema uko KCMC, inabidi nikufuatilie vizuri kwani utakuwa mla rushwa
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Polisi Watu kama hawa ni wala Rushwa Wafisadi ndio maana hatuendelee wakamateni upesi muwatupe Jela ninakutakia kazi njema mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...