dmketo
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 584
- 932
Habari zenu ndugu zangu GT's.
Nimeomba kazi katika shirika Fulani la wamarekani kwa bahati nzuri nimekuwa shortlisted. Pamoja na mambo mengine jamaa wamenipa siku mbili yaani J4 na J5 niwe nimewatumia scanned copy ya International Pschometric Score Certificate toka kwa international invigilator. Je kuna yeyote anayeweza kuniconect na sehemu ambayo naweza kufanya hiyo test?
Mimi nipo Dar es salaam
Natanguliza shukrani zangu za dhati nikiamini humu naweza pata msaada anuai.