Msaada wa haraka: Mwenye chumba Namanga anisaidie

Drizzle,
Kuna chumba karibu na maeneo hayo 300,000/= kwa mwezi yaani chumba na sebure na chumba kidogo (3 rooms) ,choo chako mwenyewe na umeme unajitegemea.
Kama upo serious tuwasiliane au to a budget yako unataka chumba cha bei gani usije ukawa unatusumbua kumbe unatafuta chumba cha 10,000/= Jangwani kunakuhusu kama hivyo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom