Msaada wa haraka -mke wa mpangaji wangu anataka nizae nae,abaki na kumbukumbu yangu.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
jamani yamenikuta mke wa mpangaji ametokea kunipenda na mpaka kuniweka wazi kuwa hataki mahusiano yoyote ila niwe tayari akiwa kwenye siku za kushika UJAUZITO,Ndo tukutane kuitumia hyo siku vizuri.
Then tusifahamiane tena hata mtoto akizaliwa nisitegemee kufahamu hilo,kwani akijigundua tu Ana mimba alinambia atamlazimisha Mme wake waende mi itakuwa ngumu kufahamu walipo.
Nimeonywa nisipotekeleza ntakiona cha mte makuni.
Njia panda wana JF.
 
Zubeda Mke wa mapangaji wako tena? Ama kweli Cameroon ana haki kuingilia haki za watu fulani ziwekwe sawa
 
Kwa hilo nalo unaomba ushauri?

If it were up to me lack of common sense would have been a crime punishable by corporal punishment.
 
kwani we zubeda jike dume? mbona mnatuchanganya humu JF? mi nilijua zubeda ni mwali kumbe .....au umeandika hili bandiko ukimuwakilisha mtu mwingine? fafanua tafwazali!!!!
 
jamani yamenikuta mke wa mpangaji ametokea kunipenda na mpaka kuniweka wazi kuwa hataki mahusiano yoyote ila niwe tayari akiwa kwenye siku za kushika UJAUZITO,Ndo tukutane kuitumia hyo siku vizuri.
Then tusifahamiane tena hata mtoto akizaliwa nisitegemee kufahamu hilo,kwani akijigundua tu Ana mimba alinambia atamlazimisha Mme wake waende mi itakuwa ngumu kufahamu walipo.
Nimeonywa nisipotekeleza ntakiona cha mte makuni.
Njia panda wana JF.

Wewe ni pepo kamili la uzinzi na ukahaba, ushindwe kwa Jina la Yesu Kristo Aliye Hai, Amen.
 
Huo ni uongo wa mchana, kwanza inaonekana unatembea nae huyo mke wa mpangaji mwenzako halafu umevungia ulipoleta maada ili usionekane shetwani.
Ushauri achana na wazo na huyo mwanamama kwani damu ya mtu huwa haijifichi. Anaweza kuzaliwa mtoto copyright na wewe halafu mume akatilia mashaka wakaenda kwenye DNA akaumbuka huyo mwanamke na hatimaye kuachika.
Baada ya hapo anaweza kukusumbua umuoe wakati wewe hakuwa chaguo lako bali tamaa na uroho ndiyo vilivyokusukuma.
Ni jukumu lako kupima ujidanganye nafsi yako mwenyewe kwa kumkubalia ujinga wake huyo mwanamke.
Kuhusu vitisho cha utakiona cha mtema kuni nadhani ni gia iliyotaka kuwaaminisha wanaJF kuwa upo katika wakati mgumu kumbe hakuna lolote. Hivi mkuu,unaweza kweli kutishiwa na mwanamke kuwa usipotembea nae utakiona cha mtema kuni ukaogopa! Huo ujasiri kaupata wapi huyo mama wa kukulazimisha usipokula tunda lake utakiona!! Ni wanawake wachache sana wanaoweza mambo kama hayo labda awe wa level ya umalaya tena awe amekubuhu!!!
 
Kitu usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio. Heshimu ndoa ya mwenzio na kemea hilo pepo!
 
mhh duniani kuna vituko .. sijui watu wakitukana mtawalaumu
 
Kuna kawimbo fulani nadhani ni ka Tanga International kanaimba...... "Zubeda wa *****, Mimi nakutafuta, Zubeda u wapiee, watu wanasema yupo city"....... (napata tabu kukutafuta zubeda kila mahali mjini tanga nimepita zubedaaaa.....) Hahahahaaaa zubeeeda bin Davi bin Cameroon....
 
Msaidie mpangaji mwenzio, labda anajaribu kumfichia siri mumewe, ndoa hizi zina mambo na akina mama wanaficha mengi.
Sasa unataka akwambie risasi ya mumewe hazina madhara?

Tena mpe pole huyo dada.
 
Wewe ni ME/KE?
Nijibu coz mada yako na jina lako vinanichanganya napata kigugumizi cha kuchangia!!!
 
Jana nimekuta kesi ya aina kama hiyo mtaa fulani. Wapangaji wanaibiana wake. Watch out!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom