Msaada wa haraka madaktari, hili ni balaaa!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Madaktari nahitaji msaada wenu jamani,

Leo kuanzia saa tatu kamili asubuhi hii ninatakiwa niongoze kikao flani ambacho kitatupeleka mpaka saa saba bila kupumzika.

Sasa kimeibuka kituko cha ghafla,
Jana usiku limeanza tumbo la ghafla la KUHARA,

Hivi ninavyoandika nimeweka makazi uwani(chooni) kabisa yaani hali ni mbaya wakuu.

Na kikao hicho ni lazima kifanyike, labda itokee nife dakika hii.

Naomba msaada nitumie dawa gani itakayozuia KUHARA asubuhi hii?,

Tafadhari wakuu nahitaji sana msaada wenu!
 
Tumia Loperamide tabs 4mg tds, pia tumia antibiotic kama erythromicin tabs kama huna ulcers, kama unazo tumia ciprofloxacin tabs for 5days antibiotic hizi ni muhimu sana coz hii loperamide itaconceive bacteria ndani hawa bacteria wasipotibiwa watakuletea septicemia. Najua nafanya makosa kuandika haya lakini coz ni emergency sina budi kuvunja ethics za udaktari wangu, naamini Mungu atanisamehe.
All the best, haya rusha na hela ya vocha sasa kwa Dr
 
Chemsha maji yenye chumvi kisha kunywa glass moja husaidia sana Mkuu. Pole sana Mkuu
 
Tumia Loperamide tabs 4mg tds, pia tumia antibiotic kama erythromicin tabs kama huna ulcers, kama unazo tumia ciprofloxacin tabs for 5days antibiotic hizi ni muhimu sana coz hii loperamide itaconceive bacteria ndani hawa bacteria wasipotibiwa watakuletea septicemia. Najua nafanya makosa kuandika haya lakini coz ni emergency sina budi kuvunja ethics za udaktari wangu, naamini Mungu atanisamehe.
All the best, haya rusha na hela ya vocha sasa kwa Dr

Asante sana mkuu mungu ameshakusamehe kwakunisaidia!

Asante sana.
 
Ya kawaida tu ambayo isiwe nyingi kupitiliza ikamshinda kunywa. Na anaweza kuweka maji ya kunywa hata glass tatu/nne kila baada ya masaa matatu kama anaona bado tumbo limechafuka.

mbona hujamwambia kiasi cha chumvi?
 
Tumia Loperamide tabs 4mg tds, pia tumia antibiotic kama erythromicin tabs kama huna ulcers, kama unazo tumia ciprofloxacin tabs for 5days antibiotic hizi ni muhimu sana coz hii loperamide itaconceive bacteria ndani hawa bacteria wasipotibiwa watakuletea septicemia. Najua nafanya makosa kuandika haya lakini coz ni emergency sina budi kuvunja ethics za udaktari wangu, naamini Mungu atanisamehe.
All the best, haya rusha na hela ya vocha sasa kwa Dr

Upo Mwananyamala Hospital?
 
tumia loperamide tabs 4mg tds, pia tumia antibiotic kama erythromicin tabs kama huna ulcers, kama unazo tumia ciprofloxacin tabs for 5days antibiotic hizi ni muhimu sana coz hii loperamide itaconceive bacteria ndani hawa bacteria wasipotibiwa watakuletea septicemia. Najua nafanya makosa kuandika haya lakini coz ni emergency sina budi kuvunja ethics za udaktari wangu, naamini mungu atanisamehe.
All the best, haya rusha na hela ya vocha sasa kwa dr
huyu jamaa anataka kutatua tatizo in one/two hours wewe unampa solution ya wiki nzima

achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wewe umepatwa na ugonjwa uitwao Psychic diarrhea.Umesha wahi kumuona ng'ombe akipelekwa mnadani au machinjioni wanavyo harisha? basi hiyo condition ndiyo na wewe imekupata. Chakufanya Kunywa vidonge 2 vya septrine (cotrimoxazole) tu hiyo hali within 30 minutes huta harisha. Pia beba kwa dharula vidonge vingine 2 vya septrine wakati unaendelea na hicho kikao chako. FANYA SASA HIVI KAMA HIZO DAWA ZINGINE ULIZOSHAURIWA HAUJAZIMEZA. Septrine ni dawa nzuri kwa kuzuia kuharisha kwa watu wenye Psychic diarrhea. Pole sana. Ukitaka maelekezo mengine ya kupunguza hiyo stress sema tukusaidie ila ni PM.
 
Back
Top Bottom