ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mwandani wangu ana tatizo la kutoa harufu kali ukeni naomba msaada wa nini cha kufanya.Niliwahi kukutana na wataalamu wakanipa sabuni zinaitwa woman wash lakini zimesaidia kwa muda.Tatizo limejirudia.Akina mama mliomo humu jf leteni ushauri hata nyie wanaume kama mmnajua niambieni!!!!!11