Google MapsSina bando kamanda, unaweza kunisaidia kwa hilo ?
Huna bando jf umeingia kwa kutumia nnSina bando kamanda, unaweza kunisaidia kwa hilo ?
Hayuko seriousHuna bando jf umeingia kwa kutumia nn
Mpwa msaada wangu ni huo hapo, nimekutumia ramani ya jinsi ya kufika TemekeHapa nimetumia freebasics.com .Nisaidie kama unapenda kunisaidia, Mabishano hayana msaada wowote
Nimetafut anamba ya simu nimekosaPoa nashukuru kwa ukarimu wako
Hata nikipata namba ya mfanyakazi siyo mbaya