Msaada wa haraka juu ya huu mshahara kabla sijakosa bahati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka juu ya huu mshahara kabla sijakosa bahati

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mujumba, Aug 31, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  KUNA SHIRIKA MOJA LA MOJA UMMA NIMEFANYA NALO INTERVIEW SASA WAMENIITA KUWA NIRIPOTI KAZINI NA MSHAHARA WANGU UTAKUWA NI PGSS 10 lakini hawajataja kiasi pse unaweza jua PGSS 10 ni kama ni sh ngapi za kitanzania?? nauliza kwasababu kuna kampuni nyingine nayo imeniita inataka kunipa mshahara wa sh 780000 kwa mwezi so nipo dillema wandugu naombeni ushauri juu ya amount ya PGSS 10 ni sh ngapi??
   
 2. c

  cielo Senior Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shirika gan! Maana hyo salar inatofautiana, mf agency mishahara yao ni tofaut na wengne
   
 3. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ni shirika la serikali
   
 4. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  inaanzia kama 1.4 hv mkuu usikatae. . .
   
Loading...