msaada wa haraka jamani,nakufa

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
nina kichomi ambacho sijawahi kukipata,kimetokea hapa chini ya kifua upande wa kulia unapoanza tu mbavu,jamani kinauma sana toka jana,nimecheki maralia sina,nikachoma sindano ya diclofenac kikapoa kidogo tu na vidonge vya ampicillin,nisaidieni kwani sijalala kabisa, physical condition ambayo nahisi inaweza kuwa sababu ni may be kubadili mazingira,nimetoka dar joto kali nimekuja ushirombo ambako nahisi baridi toka nimefika 1 week ago.Plz help me
 
Pole sana...kunywa maji ya moto kila mara!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wahi hospital na wajurishe washirika wako wa maombi wakuombee soon utapona.very sorry
 
nina kichomi ambacho sijawahi kukipata,kimetokea hapa chini ya kifua upande wa kulia unapoanza tu mbavu,jamani kinauma sana toka jana,nimecheki maralia sina,nikachoma sindano ya diclofenac kikapoa kidogo tu na vidonge vya ampicillin,nisaidieni kwani sijalala kabisa, physical condition ambayo nahisi inaweza kuwa sababu ni may be kubadili mazingira,nimetoka dar joto kali nimekuja ushirombo ambako nahisi baridi toka nimefika 1 week ago.Plz help me

Pole sana. Tafadhri nenda hosipitali upate matibabu, Muhmbili, TMJ, n.k
 
Pole ndugu, je huwa unatumia kinywaji soda? Nilikuwa mpenzi sana wa "maunteni duu" ilikuwa ikinitesa sana nilipoachana nayo tatizo likaisha.
 
Pole ndugu, mm nilishapata kitu kama iko nilipo hama toka kuja moshi, dawa ni kunywa maji ya moto na vaa koti muda wote hiyo mara nyingi huwa ni baridi ambayo imeingia kwenye mifupa, ni mbaya ukizidi kujiachia waziwazi mwili wako, vaa koti ata ukiwa umelaa!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Pia inawezekana ni oxgen insufficience ambapo hewa haikuingizi sawasawa. Hakikisha unakaa mahali ambapo utapata hewa ya kutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom