Msaada wa haraka jamani, nahisi naumizwa mda si mrefu

Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,151
286
Jamani wadau nipo apa, Ferry upande wa magogoni kuna kajibaa flani apa uwaga tunakaaga tukisubiria kivuko, napiga safari yangu ya baaariidi, kaja jamaa mmoja, kajiintrojuce kwangu yeye ni forenar katokea pande za kwa kibaki, amekuja tafuta job apa tz, kwa apa tz amefikia ubungo kwa rafiki yake na ana Digree ya Accautancy amegraduate last year.

ILA SASA ameniambia uku posta alikuja kwa ajili ya kuangalia ela zake KCB BANK ila amekuta bdo azijzfika ivyo ANOMBA NIMPE JAPO ELA KIDOGO ATA NAULI YA KUMRUDISHA UBUNGO kwa mshikaji wake alikofikia,wadau nipeni ushari faster, apa napotuma ihii yupo pembeni yangu..
 
Duh! we zaidi ya kauzu hahaha! nauli tu mia tatu ? mpe fasta tusikukane kwamba hatukujui kabisaa!
 
Ni tapeli huyo, kwanza jihadhari na spray utalala sasaivi halafu akuchukulie kila ki2 na Benki KcB Hata kenya ipo iweje Aje Tz? Temana nae. Hata cc wahasibu wapo arudi kwao kenya.
 
Mwambie atembee kwa miguu, kutoka mjini mpaka Ubungo ni karibu sana baada ya lisaa moja atakuwa ubungo, wazalendo wengi wasio na kipato umbali huo karibu kila siku wanatembea kwa mguu to/from town
 
Mwambie atembee mdogomdogo!
Kcb kwa nini hakuja mlimani city kutokea ubungo si ndio karibu zaidi?
Atambae zake!
 
wee mkuu ukiwa kenya ukaanza kusumbua raia namna wanakuitia polisi,kama mimi simpi labda awe mtanganyika mwenzangu
 
ukimpa hata mia tano utashangaa hela zako zote zimepotea akafe mbele kibaka mzoefu huyo,mimi washaniliziga hao sina hamu nao
 
Duh! we zaidi ya kauzu hahaha! nauli tu mia tatu ? mpe fasta tusikukane kwamba hatukujui kabisaa!
<br />

<br />
nauli tu hadi aombe ushauri! Khaa!
Likitokea toto limekaa pembeni bili yote ya vinywaji na vyakula atalipa yeye!
 
Siku nyingine usithubutu kutoa hela ovyoovyo especial kwa watu ambao hauwafahamu,na wanapoanza kujiita wakenya ujue ni watapeli wakubwa,inawezekana huyo jamaa alikua anafanya mpango wa kujua una shilingi ngapi mfukoni ili akulie timing nzuri zaidi ya kukutapeli,pia kuna wengine walee kutoka congo wanakuibia kwa njia ya mazingaombwe so next time be very carefully
 
hivi tawi la kcb lililo karibu na ubungo ni la mjini(posta) au mlimani city?nauliza tuu...........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom