Msaada wa haraka ghrama na michoro ya ujenzi wa ukumbi wa mikutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka ghrama na michoro ya ujenzi wa ukumbi wa mikutano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wamoro, Aug 2, 2011.

 1. w

  wamoro Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau salaam!

  Nimepata ufadhili wa kujenga ukumbi wa kisasa wa mikutano (conference facility) wenye uwezo wa kuingiza wato 300-600.natakiwa nipeleke michoro na ghrama za ujenzi.nimejaribu kuomba msaada wa wasanifu bei zao hazishikiki kabisa kabisa.wadau naomba mawazo nafsi itapotea kabisa hii.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nakutumia pm sasa hivi tutete
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ameweza kukufadhili gharama za ujenzi atashindwaje michoro???
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,776
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Jibu zuri sana!!
   
 5. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sana! Hata mi nimelifurahia, hawa watu bwana! We acha!
   
Loading...